Hata baada ya kifo Bob Marley bado anatisha kwa upande wa mkwanja mreefu. legendary
huyu amesimama kileleni mwa utafiti wa list ya jarida
maarufu la Forbes kati ya wasanii nguli walokufa .
Na hii ni kwa muujibu
wa taarifa za hivi karibu mwana huyo nguli yuko katika tano bora akiwemo nguli
wa pop Michael Jackson, Elvis Presley, na Charles Schulz (aliyecheza Peanuts cartoon fame) na pia John Lennon.
Micheal Jackson yeye
amepasua na kua no.1 , akiwa na mkwanja wa zaidi ya US$160 wakati Bob Marley anakamilisha tano bora kwa mkwanja
wa $18 million. Ikumbukwe kwamba Bob
Marley alikufa kutokana na ugonjwa wa cancer mnamo May, 1981 akiwa na umri wa miaka 36.
1. Michael Jackson $160mElves Presley $55m
3. Charles Schulz $37m
4. Elizabeth Taylor$25m
5. Bob Marley $18m
6. Marilyn Monroe
No comments:
Post a Comment