255712271535
- KAKA HANDO UMESAHAU HAOHAO WALIFUTA MASOMO YA BIASHARA ALAFU WAKAYARUDISHA
BAADA YA MIEZI KADHAA,WAMESHAVURUGWA HAO WARUDI BUSH- KWAME NIPO KINO
255753451618
tatizo viongozi wa wa wizara ya elimu ni magumashi sana,wanacho kiota ndicho
wanachokuja ku2ambia asubuhi!Moi Haisule wa Life Unity 87.9 Moshi
255653918946
NAITWA MBARAKA HASSAN MMOLE PANDE ZA NAMATUNU MASASI, JERAD HIYO WIZARA INABID
IPANGULIWE IPANGWE UPYA MAKE WANAKERA SANA.
255763087709
GEORGE MASHIGILA 88.1 SAUT.Wizara ya Elimu wanachekesha sana, jamaa walikaa
chini na posho zikatokaa wakakubaliana kuleta huu mgawanyo wa max ambao ni
mbovu
255788136040
KAULI YA NAIBU WAZIRI INAASHIRIA UPEO MFUPI KATIKA MAAMUZI MUHIMU. MALEDHI WA
UKONGA
255754244019 KWA NIABA YA WATANZANIA
WENZANGU,TUNAMUOMBA MH,RAIS JK,AWAFUKUZE KAZI WAHUSIKA WOTE WA WIZARA YA
ELIMU.WAMESHINDWA KAZI WANALETA SIASA.ADAM B PONELA WA MBEYA
255713047445
SIWE, UNAONGEA KWELI GERALD LAKINI HAKIKISHA MACHO, KUCHA, MENO NA KORODANI
VYOTE UMEVIWEKEA GRILL NA UWE MAKINI NA WATU VYENYE NCHA KALI!
255763667373
gerald sema wewe ningesema mimi ningeonekana mpinzani. Kweli inachekesha na
inasikitisha, kweli tunaipeleka wapi nchi yetu? Wizara nyeti hii! Jesca wa
irnga
255655404866
--------hao viongozi wizara ya elimu nibora wafukuzwe kazi. Wanatia aibu.
Inaelekea hawapo kikazi zaidi. Mrs kinuka wa tandika.
255717679945
Mimi Juma Ndekio Dar Hio Wizara Ya Erimu Haijierewi Ndomaana Kila Mtu ana Ongea
Lake Wana Tuchanganya
255756554055
watanzania tumezidi upole, wizara ambayo kila siku ina makosa tunaacha eti
tuangalie bunge ama raisi atafanyaje! Tuamke na kukemea. Maiko kessy wa
kingongo
255752279784
elimu ya bongo imekuwa km mkaanga mandazi leo madogo kesho makubwa hana kipimo
sawa wizara jipangeni msijikurupushe tu.ni enock mbuya wa 87.9 marangu mongai.
255716398659
BONIFACE BARAKA TOKA KAWE INAMAANA DIV 0 HAIJAFUTWA,MAANA HATUELEWI
255753007107
HAWA WA WATU WA WIZARA YA ELIMU WALIKUWA WAMEBADILI JANA TU! KIFO WAKAITA
HARUSI ILI KUWAPA MOYO WANAFUNZI AU SUMU IITWE MAZIWA FRESH: AISHA :MABIBO.
255714110161
KAKA KWELI INACHEKESHA IKIWA VIONGOZI HAWAJUWI WANACHOKIFANYA UNATEGEMEA NINI
KWA WANAFUNZI KAMA SIO ZIRO. HERI DEREVA BAJAJI MASASI
255768233863
: FRANK KUTOKA MUSOMA WIZARA YA ELIMU INALAZIMISHA BIG RIZATI BILA KUJIANDAA
MIMI NDIVYO NAVYOONA.
255716805138 Wizara ya elimu labda walikua
wanataka kick maana haiwezekani katibu mkuu aseme jambo baada ya siku chache
naibu waziri aje
255753451618
kwani nyie wizara ya elimu hamujui mchawi wenu?mchawi wenu ni waalimu ambao
hamuwajali!wata wapa tabu mpaka mnyooke!Moi Haisule wa Life Unity 87.9 Moshi.
255655313037
naibu waziri hamna kitu kama aliweza kusema tanzania ni muungano wa zambia
unafikiri kuna nini hapo! Ajipange sawa sawa. Wailu wa moro
255754588068
Wizara ya elimu haionyeshi ufanisi kabisa,Naomba Rais Kikwete aingilie kati ili
kunusuru elimu yetu isiporomoke zaidi .TONNY kutoka manzese
☹|Kunta_Kinte|☃ @ Tokea Wandewa Strt 96.0
alıetangaza matumızı ya vıwango vıpya vya elımu nı nanı na alıekuja kubatılısha
nı nanı?
Bday
boi Nov9 calme @KATIKA WIZARA AMBAZO
ZINAKURUPUKA NI WIZARA YA ELIMU HAWAJIELEWI WOTE
Ally
shop @ Ila nimefulaia wenye zero kupewa hadhi ya di-5 hongela
katibu mkuu elim na mawaziri wako hah hah hah hah
RAJABU
NGWEMBE 96.0 @ Nauliza @ matekeo darasa la saba
yametoka ivi kunamtoto alie felli maana kilanimgusae adai kafaulu ?
My
Birthday Nov 07 @ Wizara ya Elimu sasa
tunatoka afadhali tunaenda potelea mbali,huo mfumo mpya wa madaraja mmebugi
kabisaa
Uchumiphilbert
@ wa #Kahama: Wizara ya elimu ivunjwe Mh. Rais aiunde
upya tuondokane na ubabaishaji huu kama malaria inayopanda na kushuka.
255717302397
rais anapo chagua mawazir aangalie uwezo sio undugu wala ulafiki ndiomana
wizara zote zimeoza hasa elim by juma lukwale kutoka bukoba,
255758161823 tuelewe lipi sasa
mfumo umebadilika au bado ni uleule maana hata Viongozi hatuwaelewi kabisa.
Ramson dilunga kutoka kigoma.
255753117478
. hamis matunda gaza sgd ingekuwa na watoto wenu wanasoma nchin musingefanya
mnayoyafanya
255756327667
kashinde maulidi,mwanga kigoma wote wazungumze mhe Eduard Lowasa kanena
vema,viongozi tanzania wamekalia uswahili tu!
No comments:
Post a Comment