Wednesday, November 20, 2013

MAMBO YA WORLD CUP HAYA YAJA YAKHEEE





Wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miilia yao katika mjii mkuu wan chi ya Brazil wakati wa michuano ya kuwania kombe la dunia watafanya biashara yao kwa debit or credit card.

Ninapozungumza haya hii leo! Tayari wanawake hao wmekwisha sign deal na mabenki nchi humo na kuahidiwa watapewa chip na  PIN machines.
Wanawake kutoka Belo Horizonte,kama  miles 270 kutoka mji wa  Rio, wao wamesha andaa kauli mbiu na kuibuka nayo bila kumumunya na kubadili lugha wanasema hivi!, “Enjoy now, pay later”.

Cida Vieira, kutoka kwenye kikundi cha makahaba anasema kwamba wateja wao ambao watakua hawana cash money na wanataka kuendelea kuka na kahaba  basi wanaweza kuendelea kuponda raha bila shobo lolote!
Chama ama muungano wao unaona ya kwamba mpango mzima wa kulipia huduma zao kwa cards ni bora kwa wateja wao na hasa upande wa usalama lakini kwa makahaba bank statements  hazitaonesha“activity”.

No comments:

Post a Comment