Je utaendelea kumpiga picha? Au utatimua? Na
ukitimua si atakulenga? Je unadhani hapa ni eneo gani la Africa?
Sio lazima uende kupiga picha
Mayffair,Lamada ama External pale au ufukweni lah! Picha ni popote na ubunifu wako
tu!
Je unakumbuka kujipikilisha? Na kibaba baba
na kimama mama? Yeuwiiii those days huko! Hahahaha ah life weee
No comments:
Post a Comment