LUCY KIBAKI
Nadhani wengi mtakua na
maswali yasiyokua na majibu,mahala aliko mwanamke wa shoka,mbabe,aliyekua first
Lady wa taifa la Kenya alipojificha!.
Hakuna taarifa zake zozote
kumhusu mwanamke wa shoka kutoka eneo la Nyeri ambaye pia inaelezwa kwamba alikua akimkung’uta
mumewe, kiasi ambacho wakati Fulani alikaribia kumvunja mguu mumewe ambao si
mzima katika ikulu ya taifa hilo .
Ni habari ya
kusikitisha , inataarifiwa kua “KaLucy” alishakufa miezi 8 iliyopita na akazikwa kwa
siri. Kabla ya kifo chake yaelezwa kua “KaLucy”
alikua mgonjwa taabani kiasi cha kua
mwehu . Kama hiyo haitoshi ! maziko yake yalifanywa kwa siri huko kwao maeneo
ya Muthaiga na walioruhuiwa kushuhudia na maziko hayo ni majirani wachache
walioko eneo hilo la Muthaiga waliokua na taarifa! .
APUMZIKE KWA AMANI LUCY
KIBAKI.
No comments:
Post a Comment