255686837073 pumzka kwa
aman my bro rankim ramadhan tutakumiss sana watu wako wa sinza coz ulikuwa ni
rafiki wa kila mtu kweli kifo hakina huruma its me mc chimamy cnza.
Dj Rankim Ramadhani
amefariki dunia wakati alipokua akifanyiwa upasuaji katika hospitali ya
Mwananyamala.hii ni kauli ya mwisho ya Rankim aloitoa November 4 mwaka huu kwenye sura kitabu juu ya ugonjwa ulokua
ukimsumbua!
“madokta wanasema ni
Apendix ndo inayonisumbua ,hapa nilipo sijala toka jana ni maumivu makali t
undo yanayonitesa,tumbo na mbavu vinaniuma sana! Na sasa nachoma kristapen sindano
ya 3 but there is no releaf!”
Mazishi yanaweza kua
Sinza ama Salas ala, pumzika kwa amani Rankim tutakukumbuka maana ulikua
miongoni mwetu!
No comments:
Post a Comment