Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na baadhi ya wadau wa Sekta ya Korosho,
wakati akiagana nao baada ya kufungua rasmi Kongamano la Sekta ya Korosho
Nchini. Kongamano hilo lililofunguliwa leo,limefanyika katika Ukumbi wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho,
Mudhihir Mudhihir.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la
Wawekezaji wa Sekta ya Korosho nchini,lililofanyika jijini Dar es Salaam,leo
katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Waziri wa Kilimo,
Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais
kufungua kongamano hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi
ya Korosho, Mudhihir Mudhihir, akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa
Kilimo, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza
Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza
Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Makamu wa Rais Dkt.Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliohudhuria Kongamano
hilo,baada ya ufunguzi.
No comments:
Post a Comment