Friday, November 8, 2013

BODYGUARD WA RIRI AMSHIKA NYONYO HADHARANI



Rihanna a.k.a RIRI
 
Mrembo mwenye mvuto wa kipekee alosheheni vimbwanga,mlabata asiye jivunga!, Rihanna  pengine anaweza kua ndio sababu ya kumfanya bodyguard wake amshike nyonyo kutokana na vivazi vyake vyenye kuonesha sehemu zake  nyeti wakati alipokua akijaribukum  protect .

Matokeo hayo naamini hayakua dhamira ya bodyguard huyo lakini ndo hivyo tena camera zilinyaka tukio hilo!.du kumbe sometimes hawa bodyguards wanafaudu?! Kuwashika hapa na pale mabosi wao! I see!

No comments:

Post a Comment