Mtoto Zili ameonekana
mara kadhaa akiwa na babake alomtia mnyororoni huko katika jimbo la Mashariki mwa mji wa Zhejiang.
Zili mwenye umri wa miaka 11 ni mtoto mtukutu kwa tabia
yake hiyo amekua akifungwa mnyororo mguu wake wa kulia kama mbwa na familia
yake ndiyo ilo amua kumpa adhabu ama kumdhibiti ili kuepusha shari na wazazi wa
jirani ambao kila mara wanalalamikia tabia ya Zili.
Hata kama Zili ni
mtukutu, anadhibitiwa hivyo vipi sehemu hiyo ya chini inahusikaje? Why atembee
utupu?
Babu yake zili naye yumo anashiriki katika mates ohayo,
anamzuia Zili asipotee machoni mwake haya yanatokea katika mji wa Zhejiang, China
Na wakichoka kumshikia mnyororo wanaufunga kwenye ukuta
abaki hapo, Zili mwenyewe hana noma ana hana budi anaendelea na michezo yake ya
kitotom kama umuonavyo akijipinda, familia yake ina jitetea kwamba haina namna
bali ni kumfunga mnyororo kwasababu ya tabia yake mbaya ya kuwashambulia watoto
wenziwe walio karibu naye.
Tazama jinsi mguu wa mtoto Zili
ulivyo via sijui pia kama kidole chake alizaliwa kikiwa hivyo?! Taswira hii inaonesha ya kwamba mnamo mwaka 2009 kati ya watoto 13 wa
kiChina alikua na matatizo ya akili..
Turejee mwaka 1950,inaelezwa ya
kwamba watu wakubwa walokua wakiugua maradhi ya akili takwimu zinaonesha
walikua asilimia 2.7,ama mmoja katika
kila watu wazima 37 raia wa Chili alikua
hamsa majnuni.
Inasemekana kwamba Zili alipokua na mwaka mmoja alianguka na kuumia kichwani so inawezekana akili zilicheza na hivyo kusababisha awe nusu kichaa kwa kumshambulia mtoto yeyote ajaye karibu yake.
Zili kwasasa anaangaliwa kwa karibu zaidi na babu yake ambaye amepooza na hii ni baada ya mama yake Zili kufariki kutokana na ugonjwa wa Cancer
Zili akikatiza kwa jirani zake.
Babu yake Zili alipoulizwa juu ya madhila ya Zili aliangua kilio na hapo anafuta machozi.
KWELI DUNIANI KUNA MAMBO
Babu yake Zili alipoulizwa juu ya madhila ya Zili aliangua kilio na hapo anafuta machozi.
KWELI DUNIANI KUNA MAMBO
No comments:
Post a Comment