Wanasayansi kutoka chuo cha London school of hygiene and
tropical medicine wameandaa utaratibu utakaosaidia kina mama kujua kama watoto
wao wanahitaji msaada wa dharura ki afya.
Wanasayansi kutoka chuo cha London school of hygiene and
tropical medicine wameandaa utaratibu utakaosaidia kina mama kujua kama watoto
wao anahitaji msaada wa dharura ki afya.
Watoto wengi wanapozaliwa hasa vijijini inakua vigumu
kupata misaada inayoambatana na mahitaji yao hasa wakiwa wamezaliwa kabla ya
wakati wao.
No comments:
Post a Comment