Wednesday, November 13, 2013
ANAMTAFUTA BABA YAKE MZAZI WALIYEPOTEZANA NAYE MUSOMA.
Cosmas Hans Mose
Jina langu ni Cosmas Hans Moses(22) na dada yangu anaitwa Aneth Hans Moses(24), kwa sasa naishi mwanza.. Ninaemtafuta ni Baba yetu mzazi anaitwa Hans Moses Mwakyusa, zamani alikua anaishi Kiabakari Musoma vijijini na huko ndiko tulikopotezana mimi nikiwa mdogo kabisa kwa hiyo simfaham hata nikimuona...
Kwa sasa nasikia anaishi Kyela Mbeya pia ni mfanya biashara ila cjui anafanya biashara gani.Naomba msaada wenu ili niweze kuonana tena na baba yangu mzazi mawasiliano yangu ni 0765-684572
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment