mtoto
huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja, aliamua kwenda jukwaani
walikoruhusiwa watoto kua karibu na baba mtakatifu, yeye akachagua muda ambao
papa alikua anahutumia waumini na wanafamilia , akaenda kumkumbatia katika viwanja vya st. peter’s square.
Pope
akimtuliza mtoto huyo
Dogo
kwa raha zake! Utoto raha kweli, ungekua mkubwa ushachezea kirungu!
mtoto
huyo hakumpa pumzi pope alikua mara hapa mara pale,hata pale ambapo wasaidizi
wa pope francis walipojaribu kumuelekeza
alitoke jukwaa wapi ,lakini pope huyo alikua mtulivu juu ya harakati za mtoto
huyo na hata kumuacha aketi kwenye kiti chake kikubwa cheupe.that’s the spirit!
Hebu
ona Pope Francis anavyo mtazama mtoto huyo! Kiukweli mtoto amejiachia vya
kutosha na Pope.
No comments:
Post a Comment