1-NAJUA
UNASOMA SMS HII
2-WEWE NI
BINAADAMU
3-HUWEZI
KUSEMA “p” BILA KUUNGANISHA LIPS ZAKO
4-HAHAHA
UMEJARIBU KUTAMKA P
6-UMEJICHEKA
MWENYEWE
7-NA SASA UNA
TABASAMU
8-HUJAJUA KAMA
NIMERUKA NAMBA 5
9-UMEHAKIKI
KAMA NAMBA 5 IPO
10-UMEJICHEKA
MWENYEWEEE SABABU NIMEKUSHIKA
11-LAZIMA
UTATUMA SMS HII KWA WATU WENGINE ILI UONE KAMA UTAWASHIKA!
No comments:
Post a Comment