Mtaalam wa kifaa cha
AUTOBOSS v30 Alphonce akisoma Ripoti katika kifaa hicho
Baadhi ya Aina ya
Magari
Fundi Uliza akionekana
anasoma Ripoti katika kifaa cha AUTOBOSS v30 maeneo ya Mabibo
Hiki ndicho Kifaa
Chenyewe
Mashine ya AUTOBOSS v30
inavyo fanya kazi katika Gari , hapa ikipima mifumo mbalimbali ikiwemo injini,
Mfumo wa Hewa(AC) , Mfumo wa Breki (Break System) na ujazo wa matairi.
3-86 Solutions
Motto: "Do it
right the first time"
3-86 Solutions inatumia AUTOBOSS v30 Diagnosis
System, ambacho ni kifaa/mashine yenye teknolojia ya hali ya juu wa utambuzi wa
tatizo la gari husika. Pia huweza kutambua uwiano halisi kiuweledi zaidi
kutokana na aina ya gari (magari) zaidi ya 50 (50 makes) kutoka Ulaya, Marekani,
Asia kwa mfano; Audi/Volkswagen, Mercedes-Benz, BMW, Volvo, Jaguar Land Rover,
Chrysler, Ford, GM, Honda, Hyundai, Subaru, Suzuki, Isuzu, Nissan, Mazda,
Mitsubishi, Toyota na kadhalika.
Kifaa hiki huweza
kupima vitu vifuatavyo katika gari;
Ø Uendeshaji (Mfumo wa
gia - Transmission, Distroniki - Distance Radar Sensor, Mfumo wa gari
kielektronik)
Ø Chassis (Ujazo wa
tairi, Mfumo wa breki - Sensotronic Brake, Uwiano wa umeme)
Ø Body (Control Unit Adaptation, Actuation,
Correction Programming, Initial Statup)
Ø Mfumo Hewa (Kiyoyozi
- AC, Kipasha joto - Heater)
Ø Habari & Mawasiliano (Mfumo hisia wa
kuegesha - Parktronic, Telematik, Spidometa ya Digitali Navigesheni, Redio,
Video)
Kwa mawasiliano
Alphonce Michael
P. O. Box 63144,
Dar Es Salaam.
Cel 0715000029,
0763000290, 0686077334
Kwa
kuona kwa kina Jinsi Kifaa kinavyo fanya kazi Bofya hapa Chini.
http://www.hofmann-srbija.com/wp-content/uploads/2010/09/Autoboss_V30_eng.pdf
No comments:
Post a Comment