Joseph Mutuma anafanya biashara yake ya
kioski karibu na sehemu ya kuuzia majeneza,hivyo haoni hatari kupitisha mchana
kiusingizi! hatareeeee
Joseph Mutuma anasema watu wanionao huogopa
saaana kuniona nachapa usingizi ndani ya jeneza lakini mi najisikia
freeeeesh!Joseph haogopi kifo na hakimtishi! Na mtu akifa huo ndo mwisho
wake.Na kazi zake humlazimisha kuanza mapema mno asubuhi na kuhitimisha usiku
wa manane, so why asipunguze usingizi sehemu ambayo inampa starehe? Ndani ya
Jeneza!
No comments:
Post a Comment