HATAREEE!
Becarefull leo utakapokua umepombeka kupitiliza, yaani drink
till you drop,maana waeza jikuta unaamka ukiwa katika eneo tata.na katika
baadhi ya nchi kulewa kupitiliza si salama sana!
Pombe sio chai, wanasema wahenga hapa Tanzania, sikia hii
! Jamaa mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, ambaye ni raia India amabaye baada ya kubwia matingasi akaamua
kuegesha nje ya bar, bila kujijua alipokua amelala fofofo likaja hili li python.
Tukio hili lilitokea wakati wa maakuli, na joka hili
lilikua na njaa ndipo alipokutana na mlevi huyo aliyejisahau akaamua kujisevia.
Tukio hilo limetokea maeneo ya Attapadi katika kitongoji
cha Kerala. So kama umepanga kwenda kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka maeneo
hayo jipange, pengine usinywe pombe mpaka hapo utakapojihakikishia usalama wako
ukiwa katika hotelroom ndio! Si utakua
umejifungia! Jileweshe weeee ukizima uko peke yako.
IJUMAA LEO, MJIPANGE HATA KAMA HAPA HAKUNA MIJOKA HIYO,
WAPO WAZEE WA KUKOMBA KILA KILICHOCHAKO! OR VINGINEVYO. AM OUT
No comments:
Post a Comment