Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia
ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said, wakati walipokutana faragha Nov 19,
2013, nchini Kuwait katika mkutano wa
tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni
Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said, baada ya mazungumzo ya faragha walipokutana Nov 19, 2013, katika mkutano wa tatu wa
Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait
No comments:
Post a Comment