Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Dkt. Mugisha Clement, aliyekuwa akimpa
maelezo kuhusu alivyompokea Mjumbe wa Tume ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi,
aliyelazwa katika Kitengo cha Uangalizi
Maalum (ICU) MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipokwenda
kumjulia hali, kufuatia kujeruhiwa na majambazi usiku wa kuamkia jumapili huko
nyumbani kwake maeneo ya Kibamba.
No comments:
Post a Comment