Lufufu aliwahi kua
mwanajeshi, ni mtafsiri wa kwanza hapa Tanzania kwa kutazama sinema kwenye
projecta na kutafsiri kwa Kiswahili na watu wanasikiliza, na siku za karibuni
ametafsiri sinema ya home alone! Watoto wanampenda sana Lufufu kwa namna anavyowapa
mzuka kwa masimulizi yake.
Kelvin Twisa kutoka
Vodacom Tanzania ambaye ni Mkuu wa
Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania.
Sehemu ya umati wa watu
waloitikia wito wa kupata darasa la fursa! Hatari walitishaje?
Bwana shamba Yona
aliyehamasika na fursa! Akanihamasisha na mimi, tutakaa naye kikao jumatatu
kuanzisha kikundi chetu,tutafanya nini ntakutaarifu.
Sehemu ya jukwaa ilivyokua, na hapo DC wa Iramba Yahya nawanda akiongea.
Watu waliitikia mpaka viti vilikosekana wakasimama wima! asanteni sana
Walioamua kwenda kupata maujanja ili wabadili mtazamo wa maisha yao.
Dc Yahya Nawanda akiongea na Madam Rita akimfuatilia.
Peni mkononi kunukuu kitakachowagusa!
Liyeshika pua ni Simon Simalenga, afisa uhusiano Clouds Media Group,upande wa itifaki.
Madam Ritha Paulsen wa Benchmark Production akitoa uzoefu
Madam Ritha alitokelezea
Mc wa shughuli hiyo Gerald Hando, ambaye ni Brand Manager wa Cluster ya Powerbreakfast.
Moja ya speakers
Ma Mc wa shughuli, Mbwiga wa Mbwiguke na Gerald
Mbwiga,Bonge,Dada kutoka news room na Shebba Kussaga
Bidhaa za Fursa
Fursa ukiipata itumie
Sehemu ya Jukwaa kuu
Wahiriki
Simon Simalenga,Fauzia na Zamaradi Mketema wa Leo Tena akiwa ametulia
Adakadabra Mrisho mpoto sijui anafanya nini yailahi
Nikki wa Pili aki share alichopata kwenye fursa
washiriki wadarasa hilo
No comments:
Post a Comment