Thursday, November 14, 2013

DUNIANI KUNA MAMBO!






Mwanamume mmoja mwenye asili ya Argentina alimua kufunga ndoa na mti kama ishara ya kuibua ufahamu wa jamii yake juu ya utunzaji wa mazingira! Upo hapo? Hapana chezeiya wana harakati bana!

No comments:

Post a Comment