Monday, December 2, 2013

KAMA BABA KAMA MWANA!




wama fananaje? du! mi nlitamani kupata mmoja wa kufanana na mimi ili nijione kupitia mtoto wangu! sikujaaliwa.ila namshukuru mungu kwa kunipa watoto watatu,asante mungu!

Mtoto huyu sikulipata mara moja,ila kadiri anavyokua anazidi kufanana na babake yake.

mtoto wa Prezzo ni kichuna wa hatari, memboje? Inawezekana ndo sababu babake akanunua kifalio, subiri uone

Hii ndo niite bunduki ya prezzo, ya dhahabu, pengine! Labda kumlindia mrembo huyo kwa yeyote atakaye leta za kuleta, labda! Mi nawaza tu ila kikubwa nimefurahi kuiona picha ya Prezzo live


No comments:

Post a Comment