Mgeni rasmi akiwa katika meza kuu na Mkuu wa chuo , pamoja na viongozi wengine wa chuo na viongozi wa Serikali ya wanafunzi
Mahafali
ya 19 ya chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) yamefanyika
ijumaa ya desemba 13 mwaka huu ambapo wahitimu katika ngazi za stashahada
na cheti kwenye fani ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma, na
mahuasiano ya umma
wamehitimu.
Kutoka kushoto ni Fabian, Dotto Mandolin Kahindi, Abushehe Nondo, Benjamin Mwangoka
Rais Mstaafu wa DASJOSO Alfred Ochali akisoma risala
Mkuu wa Chuo cha DSJ, Joachim Rupepo akitoa hotuba yake na kumkaribisha mgeni rasmi kutoa nasaha zake
Mgeni Rasmi Bi. Jimhada malembeka akitoa nasaha kwa niaba ya Meya wa manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa
Mgeni Rasmi Bi. Jimhada malembeka akitoa nasaha kwa niaba ya Meya wa manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa
Wahitimu wakiwa wanasikiliza kwa umakini hotuba kutoka kwa mgeni rasmi
Kutoka kushoto ni Anifa, Grace, Zourha na Cartace ambao pia walikuwa wahitimu katika mahafali hayo
Wahitimu wakiwa wanatunukiwa
Wahitimu wakiwa wanatoa mkono wa Shukurani baada ya kutunukiwa vyeti katika ngazi mbalimbali
Wahitimu wakiwa katika pozi baada ya kumaliza mahafali
Wahitimu wakiwa katika pozi baada ya kumaliza mahafali
Baadhi ya wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu zao
Kutoka kushoto ni Elizabeth Lazaro akiwa na Jackline Marandu ambao pia ni wahitimu.
Wageni waalikwa wakiwa wanafuatilia kwa makini kinacho endelea katika mahafali hayo
Kwaito time
No comments:
Post a Comment