Ama kwa hakika duniani
kuna mambo! Eneo la Eldoret nchini Kenya
pale ambapo mwili wa jamaa mwenye umri
wa miaka 25 ,uliamua kugomea kitaa kwa saa 20 hapana chezea usia wa
marehemu! .mgomo huo uliyaacha magari mawili yalokodiwa kwa nyakati tofauti ili
kuusafirisha mwili huo kugoma kuwaka pindi mwili huo ulipokua ukiingizwa kwenye
gari hizo za kukodi ,mwishowe! Baada ya dada wa marehemu kumuomba mfu kimila ,
ndipo gari ya tatu ikaitika na kuusafirisha mwili huo kwenda kwa maziko .
No comments:
Post a Comment