Wananchi wa kata ya Manda Ludewa wakimfuta
jasho mbunge wao Deo Filikunjombe kama kumpongeza
kwa utekelezaji mzuri wa ahadi na uwakilishi uliotukuka
bungeni
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa
amebebwa na mpiga kura wake kama kumpongeza kwa utendaji wake mzuri
Mbunge wa Ludewa Deo
Filikunjombe akifurahia baada ya kupongezwa kwa kubebwa mgongoni na mpiga kura wake.
No comments:
Post a Comment