Bendera zikipepea nusu
mlingoti mbele ya Bunge huku Cape Town Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mzee
Mandela.
Bajeti ya Randi 72 millioni ambazo ni sawa na sh. 11.1 bilioni
za Kitanzania zimepitishwa na Baraza la jiji la Cape Town kwaajili ya
maandalizi na kukamilisha zoezi zima la maziko ya Rais wa zamani wa Afrika
Kusini, Nelson Mandela aliyefariki wiki iliyopita December 5,2013.
No comments:
Post a Comment