Ndege ya shirika la
ndege ya British Airways ilokua ikitokea
London usiku wa jana ilijibamiza kwenye
mjengo wa uwanja wa ndege wa OR Tambo Airport ulioko kwenye mji mkuu wan chi hiyo Johannesburg, South Africa.
Tukio hilo limetokea
wakati ndege hiyo ilipokua ikitua na hivyo bawa lake likafyeka tofari la mjengo
huo mwishoni kabisa mwa runway.Abiria waliokuwa katika ndege hiyo hakuna
aliyepata madhara hata mmoja.
Msemaji wa uwanja huo
wa ndege amethibitisha kua ndege hiyo imeumia na abiria wa ndege hiyo
walichukuliwa na kupelekwa hotelini kwa usiku mmoja,na ndege itabakia uwanjani
hapo na haitaruhusiwa.
Ingawa msemaji huyo
hakusema kama kulikua na majeruhi.
No comments:
Post a Comment