Wednesday, December 11, 2013

KWAHERI MWANA AFRICA! YOU ARE UNIQUE AMONG US!




UMETISHA TATA
 

WANAJESHI WAKITOA HESHIMA KWA MZEE MANDELA WAKIWA WAMESIMAMA KATIKA MITAA YA JIJI LA PRETORIA KUFUATIA KIFO CHAKE NA ALIYOYAFANYA KWA NCHI YAO NA DUNIA KWA UJUMLA.

WATU MBALIMBALI WAKIWEKA SAINI KWENYE KITABU CHA MAOMBOLEZO NJE 
YA MJENGO WA UNION

RAISI WA MAREKANI BARACK OBAMA,ALIYEKUA KIVUTIO CHA WENGI NCHINI AFRICA KUSINI KIASI CHA KUMSHANGILIA KILA AENDAKO NA KILA ALICHOZUNGUMZA,KILIPOKELEWA KWA SHANGWE YA AINA YAKE! AMEMTAJA MZEE MANDELA KAMA "GIANT OF HISTORY"
 

HATA HIVYO SHANGWE WAKATI ZIKIELEKEZWA KWA RAISI WA MAREKANI,KWA UPANDE WA RAISI WA AFRICA KUSINI JACKOB ZUMA HALI ILIKUA TOFAUTI KWANI MADOLE GUMBA YALIELEKEZWA CHINI NA ISHARA ZINGINE  ZA KIMPIRA MPIRA AMBAZO ZITAMPA WAKATI MGUMU YEYE NA CHAMA CHAKE CHA ANC KATIKA KIPINDI KIJACHO CHA MIEZI 6 ATAKAPO KIONGOZA KWENYE UCHAGUZI! HII INAMAANISHA NINI? PENYE UHAI INSHAALAH TUSUBIRI!

No comments:

Post a Comment