Baadhi
ya wananchi waliofika mida ya saa 11 za jioni wakielekea kwenye traini ya Mwakyembe. Hii imetokana na kutokea kwa itilafu kwenye Engine ya
Traini hiyo. Kutokana na tatizo hilo lilisababisha usumbufu kwa abiria
waliofika toka saa 10 na wengine kufika saa 9 lakini hakuna ufumbuzi
uliotolewa kuhusu tatizo ilo.
Baadhi ya abiria wakiwa wamepumzika baada ya kukaa kwenye Train la Mwakyembe kwa muda mrefu
Abiria wanaotumia usafili wa treni jijini dar wamekwama kwa takribani masaa matatu sasa kwenye stesheni ya posta.Chanzo cha kutoondoka kwa treni hilo inasemekana ni hitilafu kwenye moja ya vichwa vya treni hiyo hivyo kusababisha kutoondoka kituoni hapo.Abiria wwengi wamekwama na wanalalamika bila kupata majibu ya uhakika kutoka kwa uongozi wa TRL.
No comments:
Post a Comment