Hitmaker wa Pesa, Mr
Blue aka Kabayser amesema tangu awe baba, maisha yake yamebadilika na haishi
kama zamani tena.
Blue hata amesema pamoja na kuwa baba, majukumu
aliyonayo hayajabadilika sana japo kwa sasa amekuwa yeye binafsi na familia
yake. “Kilichobadilika kwangu ni bidii kuongezeka inabidi niangalie familia
yangu inaendaje.”
Wahyda (mchumba wake na
Blue) akiwa na mwanae Sameer
“Ni mtu kwakweli kama
baba yake na mimi nafurahi,” Blue amemuongea mwanae huyo wa kiume aitwaye
Sameer. “Inabidi amrithi baba yake tu kwa uchakarikaji na kila kitu.”
Wahyda
Katika hatua nyingine
Mr Blue amesema tayari amemalizia mjengo wake na anatarajia kuhamia tarehe 1
January 2014.
No comments:
Post a Comment