Raisi Barack Obama akitaniana na raisi wa zamani wan
chi yake George W. Bush muda mfupi baada ya kutinga kwenye dege lao maarufu
kama Air Force One tayari kwa safari ya
kuelekea South Africa, Dec. 9, 2013.
Aliyekua katibu mku wa
serikali ya Marekani , Hillary Clinton akiongea na Obama, Ben Rhodes na Capricia Marshall ndani ya dege Air Force One,
Dec. 9, 2013.
Ndani ya Air Force One, Raisi wa zamani wa marekani President Bush akiwaonesha michoro ya picha
zake kutoka kushoto , First Lady Michelle Obama, katibu mkuu wa zamani wa
Marekani Hillary Clinton, Valerie
Jarrett, National Security Advisor Susan E. Rice, Attorney General Eric Holder
and former First Lady Laura Bush, Dec. 9, 2013. (Official White House Photo by
Pete Souza)
Naibu Mshauri wa
masuala ya usalama wa Marekani Ben Rhodes akihariri hotuba ya Raisi ambayo
ndo alokua akienda kuitoa kwenye ibada ya wafu na kumbukumbu ya hayati Nelson Mandela huko South Africa.
Raisi Obama na mkewe , Raisi wa zamani Bush na mkewe , pamoja na katibu mkuu wa
zamani wa Ikulu ya Marekani walipowasili South Africa, Dec. 10, 2013.
Msafara wa magari ya
Raisi Obama ukiwa umekwama kwenye
foleni freeway jijini Johannesburg, South Africa.
Raisi Yayi Boni wa Benin akimkaribisha Raisi Obama alipowasili katika viwanja vya soccer stadium tayari kwa ibada ya wafu ya kumbukumbu ya Nelson
Mandela .
Wananchi wa South
Africa wakimsubiri kwa hamu awasili raisi kipenzi na kivutio cha wengi Obama kwenye
ibada ya wafu ya Mandela .
Raisi Obama akiwa na
mwenyeji wake Raisi Jacob Zuma wa South Africa wakisubiri kuingia shughulini wakiwa njia ya
chini ya soccer stadium.
Raisi Obama
akishangiliwa na wana South Africa kabla hajaingia viwanjani hapo.
Mvua kubwa ilinyesha siku
hiyo,na hivyo kuwalazimu raia hao kujihifadhi.
Raisi Obama wakati
akisubiri kuingia uwanjani akautumia muda huo kuwasalimia wana usalama wa South Africa .
Raisi Obama akiongea kwenye ibada hiyo ya wafu ya Nelson
Mandela mjini Soweto, South Africa, Dec. 10, 2013.
Raia wa South African
wakimsikiliza kwa makini Raisi Obama alipokua akitoa hotuba yake.
Walio kua mbali na
jukwaa katika uwanja wa FNB STADIUM walihshuhudia Raisi Obama wa Marekani kwa Njia
ya bi screen.
Raisi Barack Obama akitete na mkewe Michel Obama.
RAISI Obama akimsalimia
mjane kwa mara ya pili Graca Machel,nah ii ni baada ya Raisi Obama kuhitimisha
speech yake .
Rais Obama
alipohitimisha hotuba yake,akiutoka uwanja wa FNB huku akiwapungia mkono raia
wa South Africa.
Mwanamuziki maarufu Paul David Hewwson a.k.a Bono akimsalimia Raisi
Obama na mkewe.
Raisi Obama akiagana na raisi mstaafu wa Marekani
raisi Bill Clinton aliyekua na mwanawe Chelsea.
Safari ya kuelekea
uwanja wa ndege ilianza na kuruhusu bendera za nchi mbili kupepea Marekani nay
a South Africa.
Familia mbili,ya Obama nay
a Bush zikiingia kwenye air force 1 tayari kurejea nyumbani.
Mlo wa jioni ukisubiri na mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea ndani ya
Air Force One wakiwa na
wake zao pamoja na Valerie Jarrett, Tina
Tchen na Susan Rice.
No comments:
Post a Comment