Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
kumkaribisha Balozi mpya nchini Nigeri, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana mchana kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza
kazi rasmi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na
Balozi mpya nchini Nigeri, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment