Mwanamke huyo wa kitanzania ana umri wa
miaka 28- kutoka hapa Tanzania amekamatwa
kwa kujihusisha na biashara ya mihadarati maeneo ya mji wa Macao, mnamo Dec 19, 2013. Ambapo alificha kilo 1.1
za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya $137,720 akiwa amezimeza na kasha akachukua ndege
kutoka Thailand hadi Macao siku ya
jumanne. Na alikua akielekea Guangzhou, mji ulioko katika jimbo la Guangdong .
Hizi ndizo dawa alizozimeza mdada huyo
zikioneshwa mjini Macao.
Waandishi sasa wakijitahidi kupata
picha.
No comments:
Post a Comment