Ufoo Saro
mwandishi
kutoka katika makampuni ya IPP LTD, leo majira ya asubuhi alipigwa risasi mbili
na aliyekua mzazi mwenziwe nyumbani kwa mamake Ufoo, kwa kisa ambacho hakijajulikana mpaka
sasa, kwani Ufoo alihamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, KEGAJO inamtakia
uponaji wa haraka mpiganaji katika fani UFOO
SARO.
No comments:
Post a Comment