Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaongoza baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali kutoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua juu ya kaburi ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe.
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kushiriki Ibada hiyo katika Kanisa Katoliki la Njombe leo. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kushiriki Ibada hiyo katika Kanisa Katoliki la Njombe leo.
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akiwasili katika viwanja hivyo vya Kanisa Katoliki Njombe.
Misa ya Maziko ikiendelea ndani ya Kanisa Katoliki Njombe.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe.
Wawakilishi wa Familia ya marehemu Askofu Mwanyika, wakiweka shada la maua juu ya kaburi.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Philip Mangula, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akizungumza kutoka salamu za rambirambi....
Makamu wa Rais, Dkt Bilal na baadhi ya viongozi, wakishiriki ibada ya Maziko Kanisa la Katoliki.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria misa hiyo wakiwa nje ya Kanisa wakifuatilia misa hiyo kupitia spika kutokana na kukosa nafasi.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria misa hiyo wakiwa nje ya Kanisa wakifuatilia misa hiyo kupitia spika kutokana na kukosa nafasi.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiweka udongo katika kaburi la Askofu Mwanyika, ikiwa ni ishara ya kushiriki maziko.
Dkt. Bilal, Anne Makinda na Mangula wakishiriki ibada hiyo......
Jeneza likishushwa Kaburini.....
Ibada ikiendelea....
Makamu wa rais, Dkt. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na maaskofu baada ya ibada hiyo.
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akiagana na Rais wa baraza la Maaskofu Tanzania, Askofu Tarasius Ngalalekunatwa, baada ya ibada hiyo....
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiagana na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu walipokutana katika ibada hiyo.
No comments:
Post a Comment