MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Baba mahali ulipotufikisha sivyo livyo leo! Udini upo upo makanisa yana ripuliwa, madini yanazidikuchimbwa, na mengine mengi tu baba, laity ungekua hai nadhani ungeyaona yote na kuyakemea naamini tusingekua hapa tulip oleo.
Baba kwakweli wewe ulikua mfano wa kuigwa na hatimaye mwana siasa wa karne wakati ule na dunia kwaujumla, baba bado nina kukumbuka kwa namna ya pekee ulivyotukomboa kutokakwa wakoloni, ulivyotamani kuona wengine wana amani, ulikua ukisali sana na hata leo kanisa la mt Peter Claver tulikuombea asubuhi baba ili upate heri na pumziko la milele.
Mungu akupe taji unalostahili baba, nawe utuombee huko uliko ili amani uliyotuachia idumu daima dawamu. RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE! APUMZIKE KWAAMANI AMINA.
No comments:
Post a Comment