Staa huyu mwenye umri wa miaka 20 tu ameungana na mastaa
wengine wa Nigeria wanaomiliki nyumba kwenye ardhi za matajiri Lagos Nigeria,
ameungana na mastaa wengine wa muziki kama Don Jazzy na Iyana.
Davido Ndio star aliyeimba Dami Duro,single iliyompa
umaarufu mkubwa Africa Na baadae kufanyiwa rmx na Msanii Tyga na Chris Brown.
Ndiye msanii mmojawapo wa kimataifa aliyetajwa kupiga
shoo siku ya fainali za tamasha la fiesta
octoba 26,mwaka huu katika viwanja
vya Leaders,Kinondoni,Dar.
Davido ndio kama Diamond Platnums wa Nigeria kwa sasa, ni
mshkaji mdogo ambae ametoka kwenye familia iliyoshika dini lakini akalazimisha
mpaka akaingia kwenye muziki ambapo baada ya kula mashavu kadhaa yenye hela
ndefu amenunua hii nyumba iliyokua sokoni kwa Naira milioni 140 huko Lekki
Nigeria.
LIST YA WASANII WATAKAOPIGA SHOW FIESTA DAR
.OMMY DIMPOZI
.GNAKO
.NIKI WA 2
.JOH MAKIN
.MAKOMANDOO
.CHID BENZ
.AFANDE SELE
.YOUNG KILLER
.YOUNG DEE
.MR BLUE
.MATONYAA
KUTOKA NJE YA TANZANIA KUTAKUWA NA WASANII WATATU(3)
.DAVIDOOOO
NA WENGINEO J MATERNS
No comments:
Post a Comment