Mfuko
wa elimu wa diwani wa kata ya kipawa iliyoko wilaya ya Ilala,Bi Bona Kaluwa ujulikanao kama BONNAH EDUCATION
TRUST FUND umezinduliwa rasmi jana katika viwanja vya mnazi mmoja, na mgeni
rasmi alikua ni Meya wa manispaa ya Ilala Mheshimiwa Jerry Slaa mwenye miwani kulia,aliyesimamandiye Diwani Bona Kaluwa na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Ilala mheshimiwa Raymond Mushi.
Meya wa manispaa ya Ilala Jery Slaa, ndo aliyekua mgeni rasmi NILIPOMUINUA ILI ASALIMIE WANANCHI.
Naibu waziri wa kazi na ajira ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Segerea Mheshimiwa Dk Milton Makongoro Mahanga naye alikuwepo katuika uzinduzi huo.
Woinde Shisaeli CSR MANAGER kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, akitoa salamu za kampuni yake ambao ndio wadhamini wa BONNAH EDUCATION TRUST FUND.
Meya wa manispaa ya Ilala akiongea ambaye pia alikua mgeni rasmi JerrySlaa
Sehemu ya watu waliohudhuria.
MC wa shughuli Regina Mwalekwa
Kulikua na fashion show kutoka kwa bi Asia Idarous, na hawa ni baadhi ya warembo waloonesha kazi hizo za mbunifu mkongwe wa mavazi
Warembo wa Asia Idarous wakirembwa
Walirembwa wakatokelezea, si unawaona?
Bi Asia Idarous akiwa na warembo wake waoneshao kazi zake, mwenye t-shirt ya mnyama ni mwalimu wa mabinti hao kwa ujpande wa miondoko!
Jukwaa la cut walk lilikua hivi.
Mabinti hawa walionsha umahiri mkubwa katika burudani ya sarakasi
Kazi umeiona? hatariii mazoezi tu kila kitu kinawezekana kwa mtu yeyote!
Nikiwa na mwenyeji wangu Diwani wa Kipawa BONNAH Kaluwa ambaye pia ndiye mkurugenzi wa BONNA EDUCATIN TRUST FUND.
Nikiwa na timu ya Asia Idarous
Nikiwa na timu ya Asia Idarous
Nikiwa na Legendary wa mitindo na mavazi bi Asia
Burudani hii ni kutoka Ilala bungoni wanaitwa SAFI THEATRE
Burudani hii ni kutoka Ilala bungoni wanaitwa SAFI THEATRE
Mpango
wa BONNA EDUCATION TRUST FUND ni kuwasomesha watoto wa kitanzania wapatao 100
ambao walifaulu na hawana uwezo wa kupata mahitaji muhimu ya masomo,ambapo
mpaka sasa watoto 46 wameahidiwa kusaidiwa msaada wa kimasomo na kampuni ya
simu za mkononi ya TIGO ambao pia wanaungana mkono na mfuko huo katika kutoa
fursa ya ELIMU MWANZO MWISHO.
KILA
LAKHERI BONNAH KALUWA KATIKA HARAKATI ZAKO, sitashangaanikisikia umepata post
kubwakutokana na harakati zako, KEEP IT UP!
No comments:
Post a Comment