Wednesday, October 30, 2013

GOMA LA TANZANIA





FROM MYBROTHER NCHA KALI,NIMEIPENDA KAMA ILIVYO

wazeiyah,ni aje aje? ni nadra sana kwa mimi kufanya hivi lakini nimelazimika kufanya hivi leo baada ya kukutana na bonge moja la jisongi.hili dude nimetumiwa  na  dogo  anaitwa T-BOY..kwenye whatsapp.jina lake kamili silijui atokeapo sipajui, na simu nikimpigia hapokei...ila nina imani kwamba ukiusikiliza huu wimbo, hata wewe utafanya hiki nilichofanya KUHAKIKISHA KILA MTANZANIA ANAUSIKIA...iwe ni club, nyumbani, kwenye basi au popote pale.
natanguliza shukrani

No comments:

Post a Comment