kwani haki ni kwa wote watanzania?
Wakuu habari?
hivi nchi hii sheria, kanuni na taratibu mbalimbali katungiwa nani,
kwasababu watu wanajiamlia tu
angalia huyu alivyo vaa, hivi angelivaa mtu wa kawaida/mwanainchi wa kawaida n.k angepona kweli?
naomba jeshi liwe makini
PICHA CHINI HAPO NI YA JAMAA ALIYEKAMATWA ARUSHA KWA KOSA LA KUTUMIA SARE ZA JESHI PASIPO YEYE KUWA MWANAJESHI,SWALI LA MSINGI JE MWIGULU YEYE KAPEWA RUHUSA YA KUTUMIA HAYO MAVAZI AU LA?
No comments:
Post a Comment