Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznzania, akihutubia wakati akifungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiondoka Ukumbi wa AICC baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha .
Dkt. Arame Tall, wakati
akiondoka baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu
Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
washiriki wa mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi.
Baadhi ya washiriki wa
mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati
akihutubia kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa
mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati
akihutubia kufungua mkutano huo.
No comments:
Post a Comment