Monday, May 14, 2012

Makubwa haya!

                            
                                              Danielle Lloyd and Katie Price

mabibi waliokua wamepakaa mijiliptik kibao, waliamua kubaki kama uwaonavyo kwa muda wa saa nne mfululizo, sijaelewa kama yalikua ni mashindano ya kubusu? au ni mahaba tu kati ya maragiki wawili? au pengine kulikua na ziada? mi sijaelewa labda wewe kama umeelewa mwenzangu nisaidie nielewe

No comments:

Post a Comment