Ripoti kuhusu athari za Umoja wa mazingira yatolewa
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inasema kuwa kupunguza athari za kimazingira zinatokana na oparesheni za Umoja wa Mataifa kunaweza kupunguza bajeti na pia kuboresha usalama kwa jamii zinazohusika na kwa wafanyikazi wa Umoja wa Mataifa.
Ripoti iliyotolewa na shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP kutokana na utafiti wa miaka miwili inatoa matokeo kuhusu jinsi oparesheni za kulinda amani zinavyoathiri mazingira na jinsi mazingira yanavyoathiri oparesheni za Umoja wa Mataifa. Kulingana na utafiti wa mwaka 2008 uliofanywa na kundi linalohusika na mazingira na Umoja Umoja wa mataifa unaonyesha kuwa oparesheni za Umoja wa Mataifa zinachangia asilimia 56 ya hewa chafu kila mwaka
No comments:
Post a Comment