Friday, May 11, 2012

Birthday Girl Cindy






                                       

                                      duuuuu Legend machachari! keki gani inakatwa hivyo?



Birthday girl ana nick name yake na iliwekwa katika jiugonjwa kama asemavyo Shamim Mwasha wa 8020 fashions naye a.k.a yake ni Zeze




                    mchana mpango mzima ilibidi Cindy akate cake mjengoni na kushare na washakaji


keki shurti ulishwe! Faraja producer wa Amplifaya na ala za roho yeye hakua na subra si akaji savia! muone birthday girl anatabasamu kimaajabu na huku Adam Mchomvu akifa mbavu!



mfanyakazi mwenziwe Legend kutoka Creative unit Ray a.k.a mzee wa kutupia hapa hapa mawinguni  akijijali teh tehe tehe!




Sare sare maua asiyejua kuchagua,kabila lake mziguaaaaa!!!!! B12 naye akipata kipande naamini hii ilikua style ya jana kiugumu ni kujilisha tu! no kulishwa! eh




keki ililiwa kwa miji swagg kibao! muone Perfect Kiranja mkuu, lakini Juddy na alimteka baba Johhny, nini mbaya baba Johnny mbona umeng'ata mdomo? lol mmependeza guys kiukweli! Juddy you rock bayyyyby!!



                      watu kibao baba ake, mjengoni sisi ni wana familia! wapi Shadeeweris!


                          
                                                  Asma makau mama wa mipango upo mama!
                              ziko nyingi ila yatosha kwa sasa! au siyo? ila leo! ni mijipicha tu

No comments:

Post a Comment