Wednesday, May 2, 2012

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA- 2012 YAMETOKA


Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Joyce Ndalichako leo ametangaza matokeo ya kidato cha sita, 
Shule iliyoongoza ni MARIAN GIRLS ya Bagamoyo. 

Pia amepunguza adhabu ya miaka 3 na kuwa mwaka 1,  iliyokuwa imetolewa kwa watahiniwa waliobainika kufanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011.


AU 


AU



No comments:

Post a Comment