CINDY MAXIMILLIAN
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwanadashosti Cindy Maxie, dada huyu nikutana na kufanya naye kazi IPP MEDIA GROUP na sasa tupo wote mjengoni Clouds Media Group. Kiukweli shes so good! Kila lakheri katika siku yako ya kuzaliwa na maisha yako kwa ujumla
No comments:
Post a Comment