leo nikumbukizi ya kifo cha mwanaharakati duniani, ndivyo nimuonavyo mimi, hayati Robert Nester Mrley a.k.a BOB MARLEY.
Dunia inaadhimisha kumbukizi hiyo naweka wimbo huo wa Innocent Nganyangwa unaotukumbusha mimi nawe kuwa sote ni ndugu haijalishi dini rangi ama kabila, ama uwezo ulonao.
No comments:
Post a Comment