Tuesday, May 22, 2012

Mzee Small


                                                                Mzee Small

mzee wetu huyu anaumwa na amelazwa katika hospitali ya Amana jiji Dar-es-Salaam. ninaomba kwa pamoja tumuombee ili apate nafuu ya haraka ili tuweze kupata ucheshi na  kipaji chake. ingawa chanzo cha ugonjwa wake mpaka sasa hakijajulikana tusubiri kusikia kupitia 88.4 Clouds Fm.

No comments:

Post a Comment