Saturday, May 5, 2012

LUGHA

Naamini kila mmoja ana lugha yake na ndivyo ilivyo! so mtu anapokosea ligha ya watu ambayo ni ya kigeni ni vyema nawe ukajichunguza ama kuchukua hatua za kuijua lugha hiyo kiukamilifu ili usije kujikuta unashindwa vibaya kujieleza kwa kutumia lugha hiyo!
macho ya watu nayo yana zingua ,unaweza ukajikuta kile ulichopanga kukiongea kina yeyuka!
katika kipinndi cha xxl ya Clouds Fm , segment ya jonnii mi huwa ina nimaliza kabisa! na moja ya kitu alichokifanyia kazi jonii ni juu ya lugha na uwezo wa kujieleza!

No comments:

Post a Comment