Saturday, May 19, 2012

gospel inakugusaje?





Kesho ni Jumapili nawatakia Jumapili njema kabisaaaa, ila Gospel inayagusaje maisha yako kama wewe ni mkristo? msikilize super star akifunguka kwa upande wake yeye alivyoguswa! ni MAMA IVY BAUSIONE SOO  KUELEZA HISIA ZAKO KATIKA JAMBO LOLOTE NA WALA USIMHOFIE MTU WA PEMBENI ATASEMA NINI   !!!! HAHA MSIKIZE




No comments:

Post a Comment