RAISI JAKAYA KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MEI 2012 KITAIFA MJINI TANGA.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa kashikana mikono na Rais wa Jumuiya ya Vyama vya wafanyakazi (TUCTA) Mh, Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudence Kabaka (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh Galawa katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012
Wafanyakazi wa Ofisi za Bunge wakiigiza kikao cha bunge wakati gari lao lilipokuwa linapita mbele ya Rais Dkt Jakaya Kikwete katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012
Wafanyakazi wakifuatilia maadghimisho hayo leo mkoani Tanga
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tatu kama zawadi kwa Mfanyakazi bora wa Tanesco Bi Anetha Chengula katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012. PICHA/Ikulu.
K
No comments:
Post a Comment